Na Masoud KofiiMiongoni mwa wasanii wenye vipaji vya kuimba muziki ambavyo Tanzania imebarikiwa ni pamoja na Mavokali ambaye amekuwa akifanya muziki kwa namna ya tofauti. Benj...
Licha ya ngoma ya ‘Komasava’ kufanya vizuri duniani kote lakini msanii Diamond Platnumz amegonga mwamba dhidi ya mastaa kutoka Nigeria katika kuwania tuzo za Gramm...
Msanii wa Asake amefunguka sababu ya Davido kutokuwepo kwenye Album yake aliyoipa jina la ‘Lungu Boy’ inayotarajiwa kutoka hivi karibuni.Wakati yupo live kwenye In...
Tazama muonekano mpya wa mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Asake baada ya kupunga dread alizokuwa nazo na kubakiza nywele chache kichwani.#Asake ameachia muonekano huo kwa mar...
Nyota wa muziki wa Bongo Fleva Diamondplatnumz amekuwa msanii wa kwanza Afrika mwenye ngozi nyeusi kufikisha wafuasi milioni 8.66 kapitia mtandao wa YouTube.Mafanikio hayo yan...
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria #Asake, anadaiwa kulipwa Euro 500K ambazo ni zaidi ya tsh 1.37 bilioni kwa ajili ya kutumbuiza kwenye onesho la la muziki ‘Untold&rsquo...
Baada ya kushindwa kunyakuwa tuzo yoyote katika vipendele vitatu alivyoteuliwa na Grammy mkali wa Afrobeat Davido ameeleza kuwa licha ya kukosa Tuzo hizo baba yake mzazi Adede...
Peter Akaro
Dar es Salaam: Kama kuna kitu wasanii wa Nigeria walikuwa na uhakika nacho katika tuzo za 66 za Grammy 2024, ni kuondoka na ushindi mnono kutokana na kuchaguliwa k...
Tukiwa tunahesabu masaa kuelekea kushuhudia ugawaji wa Tuzo maarufu za Grammy 66, na huu ndio muonekano wa ukumbi itakapo fanyika shughuli hiyo.Tuzo hizo zinatarajiwa kutolewa...
Ikiwa zimepita siku mbili tangu aliyekuwa Rais wa Marekani Barack Obama kuachi orodha ya filamu zilizomkosha kwa mwaka 2023, sasa ameshusha mkeka mwingine wa ngoma anazozikuba...
Mwanamuziki kutoka nchini #Nigeria #Asake, ameibua hisia kwa mashabiki katika tamasha lake baada ya kutanguliza video na picha mbalimbali za marehemu #Mohbad aliyefariki Septe...
Wakali wa #Afrobeat kutoka nchini Nigeria #Asake na #Davido waiibua shangwe kwa mashabiki wakati wakitumbuiza katika tamasha la Flytime Festival.
#Asake alimpandisha jukwaani ...
Shabiki mmoja kupitia mtandao wa X (twitter) amedai kuwa msanii kutoka nchini Nigeria Asake anamuiga msanii mwenzaye Burna Boy.Hii inakuja baada ya Asake kuvunja 'gitaa' (guit...
Wasanii wengi wamekuwa wakijitengenezea aina fulani ya kimuonekano ambao mara nyingi huwatofautisha na watu wanaofanya shughuli nyingine, kawaida ukimtazama msanii kama vile B...