Diddy amkumbuka mama watoto wake

Diddy amkumbuka mama watoto wake

‘Rapa’ #PDiddy ambaye anakabiliwa na kesi za unyanyasaji wa kingono, ameuvunja ukimya baada ya kum-post aliyekuwa mpenzi wake mwanamuziki na model Kim Porter.

Diddy kupitia ukurasa wake wa Instagram ame-post picha akiwa na Kim akimtakia kheri katika siku yake ya kuzaliwa huku akiweka wazi kuwa amemkumbuka sana mzazi mwenzie.



Kim Porter na Diddy walikuwa katika mahusiano na walibahatika kupata watoto watatu wawili wakiwa mapacha, Kim alifariki November 15 mwaka 2018 kwa ugonjwa nimonia.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags