Maajabu ya raia wa Bosnia, Adai ngozi yake ina sumaku

Maajabu ya raia wa Bosnia, Adai ngozi yake ina sumaku

Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni kutana na Muhibija Buljubasic raia wa Bosnia wakati akizungumza na tovuti ya Sarajovotimes, amesema kuwa ana nishati ndani ya mwili wake ambayo inasababisha ngozi yake kunasa vitu vya chuma.

Muhijiba anasema aligundua kuwa ana uwezo huo 2008 ambapo alikuwa akiangalia Tv na kuona mtu akijibandika kijiko kimoja kwenye mwili kama mazingaombwe na yeye akajaribu na akashangaa kuviona vikawa hadi akafanikiwa kujibandika vijiko 20.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags