Bibi wa miaka 93 asema uzee siyo kosa wanawake wasiogope

Bibi wa miaka 93 asema uzee siyo kosa wanawake wasiogope

Bibi wa miaka 93 aitwaye Licia Fertz mwenye ushawishi mkubwa katika mitandao ya kijamii anajaribu kubadilisha mawazo na mitazamo ya wanawake wengi ambao wanaogopa kuzeeka kwa kuwataka kutoogopa mikunjo ya ngozi inayotokana na uzee.

Kupitia mahojiano yake ya hivi karibuni kikongwe huyo ameweka wazi kuwa uzuri wa mwanamke hauishi siku zote, hivyo basi amewataka wanawake kujipenda kwa sababu uzee siyo kosa.



Kutokana na uhamasishaji wake bibi Licia amejipatia wafuasi zaidi ya 200K kupitia ukurasa wake wa Instagram na amekuwa akipata maokoto kupitia matangazo mbalimbali ya vipodozi vya ngozi.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags