Uwanja wa Real Madrid siyo poa, Unabadilika kama Kinyonga

Uwanja wa Real Madrid siyo poa, Unabadilika kama Kinyonga

Real Madrid imeboresha uwanja wao mpya wa Santiago Bernabeu, ambao kwa sasa una uwezo wa kujibadilisha na kutumiwa kwenye michezo ya aina nyingine tofauti na mpira wa miguu.

Uwanja huo umetengenezwa kwa teknolojia yenye uwezo wa kubadilishwa na kutumiwa kwa michezo mingine kama vile besiboli au mpira wa kikapu. Uwanja huo uligharimu pauni bilioni 1 kuufanyia ukarabati, kwa sasa unauwezo wa kuchukua mashabiki 85,000.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags