Jeddah Tower litakuwa jengo refu zaidi duniani likikamilika

Jeddah Tower litakuwa jengo refu zaidi duniani likikamilika

Jengo la Jeddah Tower lililopo Saudi Arabia linatajwa kuwa jengo refu zaidi duniani endapo ujenzi wake utakamilika.

Ujenzi wa jengo hilo ulisimama kwa miaka mitano na ukendelea tena mwezi Septemba unatajwa kuwa endapo utamalizika jengo hilo litakuwa refu zaidi duniani, lina zaidi ya mita 1000 na futi 3,281 ft, litakuwa limepita urefu wa jengo la Burj Khalifa lililopo Dubai kwa mita 173

Jeddah Tower litakuwa na hoteli ya kifahari, nafasi za ofisi, ujenzi wa jengo hili unaenda sambamba na sera ya Saudi rabia ya mwaka 2023 ya kukuza miundombinu na utalii nchini humo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags