Nicki Minaj amkataa Kanye West mapema

Nicki Minaj amkataa Kanye West mapema

Mwanamuziki kutoka nchini #Marekani, #KanyeWest inadaiwa kuwa na mpango wa kuipunguza ‘kolabo’ aliyoifanya na #NickiMinaj katika albumu yake ya ‘VULTURES’ baada ya Nick kukataa ombi la kuiweka sawa hakimiliki (clearing).

Inaelezwa kuwa wimbo huo mpya wa ‘New Body’ ambao unatarajiwa kutoka leo usiku unaweza kutolewa kwenye list ya nyimbo 18 katika albumu hiyo mpaka Nick atakapo kubali kuweka sawa hatimiliki ya verse yake.

Hata hivyo kwa upande wa Nick Minaj amedai ameachia albmu yake mpya hivi karibuni hivyo hawezi kurekebisha hakimiliki kisa wimbo ambao umekuwepo kwa miaka mitatu.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags