Kompyuta inayofanya kazi kama ubongo wa binadamu kuwashwa 2024

Kompyuta inayofanya kazi kama ubongo wa binadamu kuwashwa 2024

Kompyuta kubwa iitwayo DeepSouth ambayo ni ya kwanza duniani kutengenezwa kwa kuiga uwezo wa ubongo wa binadamu inatarajiwa kuwashwa rasmi na kufanya kazi ifikapo 2024.

Kompyuta hii kuu ya neuromorphic iliyotengenezwa kwa ushirikiano wa makampuni mbalimbali makubwa ya teknolojia kama vile Intel na Dell, inatarajiwa kufanya kazi trilioni 228 kwa sekunde ambapo uwezo wake unakadiriwa kulingana na ubongo wa binadamu.

Huku lengo kuu la kutengenezwa kompyuta hii ikiwa ni kuiga utendaji kazi wa ubongo wa binadamu hasa katika ulimwengu wa sasa wa akili bandia.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post