Mchezo wa kufuzu #Euro2024 kati ya wenyeji Ubelgiji na Sweden umeshindwa kuendelea kipindi cha pili baada ya mashabiki wawili wa #Sweden kushambuliwa kwa risasi na kuuawa kati...
Mopreme ambaye ni kaka wa marehemu Tupac, ameweka wazi kuwa mwanamuziki P Diddy aliwahi kumpigia simu na kumueleza kuwa hakuhusika na kifo cha Tupac, licha ya baadhi ya wasani...
Inafahamika kuwa ulimwenguni kumekuwa na mashindano ya aina nyingi ambayo hufanyika kwa lengo la kuburudisha washindani na watazamaji. Wakati baadhi ya watu wakiwa wanaupenda ...
Baadhi ya wachezaji na sehemu ya benchi la ufundi la timu ya Taifa ya Tanzania #TaifaStars, walienda kufanya ibada ya Umrah katika msikiti mtukufu wa Makkah ambao upo nchini S...
Dk. Louis Kwong, ambaye alikuwa Mkuu wa Idara ya Mifupa katika Kituo cha Matibabu cha Harbour-UCLA Torrance, California, ameshitakiwa kwa unyanyasaji wa kijinsia, tabia ya uba...
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Justin Bieber amethibitisha kuwa mapenzi yake na Hailey hayajafa, huku akiamua kujitoa kumsaidia mpenzi wake katika kazi zake za sanaa.
Kwa ...
Mwanamke mmoja kutoka nchini Marekani aitwaye Breneida Gottschalk ameshitakiwa kwa kosa la kutishia kufyatua risasi baada ya kuuziwa chips zilizoungua.
Mwanamke huyo mwenye um...
Dennis Graham ambaye ni baba wa mwanamuziki kutoka nchini Marekani Drake, ameendelea kumkingia kifua mwanaye na kudai kuwa hawezi kuingilia wala kutoa maoni yoyote juu ya vita...
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Kanye West anadaiwa kupata tabu katika harakati zake za kuachia ‘albamu’ yake mpya baada ya ‘lebo’ za muziki nchini ...
Muandaaji wa miss Rwanda Dieudonne Ishimwe maarufu kama Prince Kid amefungwa miaka 5 kwa makosa ya unyanyasaji wa kingono kwa mabinti wanaoshiriki mashindano hayo.
Hatua hiyo ...
Aliye kuwa msemaji wa ‘klabu’ ya #Yanga Haji Sunday Manara amefunguka kuachana na masuala ya mpira na kutouzungumzia kabisa, akidai mpira umejaa uadui.
Akizu...
Kiungo wa #ManchesterUnited, #Casemiro anatarajiwa kufanyiwa vipimo leo baada ya kuumia kifundo cha mguu wakati akicheza katika ‘timu’ yake ya Taifa ya Brazi...