Meek Miil: Wasanii wanaandika nyimbo wakiwa na mizuka

Meek Miil: Wasanii wanaandika nyimbo wakiwa na mizuka

‘Rapa’ kutoka nchini Marekani #MeekMill amesema wasanii wanapokuwa studio huandaa nyimbo zao kwa vibe, ni baada ya kutokubaliana na ushahidi wa mistari ya nyimbo za ‘rapa’ #Younggthug na #YFNLucci kutumika katika kesi zao zinazowakabili.

Meek anadai wanamuziki wanapoandaa nyimbo unakuwa mizuka na wanasahau kinachoendelea katika maisha yao mengine kwa muda huo hivyo inaweza ikawa siyo sababu kubwa ya ushahidi wa kesi zinazowakabili wasanii hao wawili.


Wawili hao wanakabiliwa na kesi mbalimbali ikiwemo uhalifu, kukiuka sheria, rushwa na kumiliki sila bila kufuata sheria.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags