Tiwa Sagave kununua ndege binasfi

Tiwa Sagave kununua ndege binasfi

Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Tiwa Savage ameweka wazi kuwa anataka kununua ndege binafsi.

#Tiwa amelithibitisha hilo kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kueleza kuwa ni wakati wa yeye kurudi #Nigeria kwa ajili ya kuendelea na kazi huku akiweka wazi kununua ndege binafsi.

Mwanamuziki huyo kwa sasa yupo katika kisiwa cha #Bahamas kilichopo nchini #Caribbean kwa ajili ya kula bata..
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags