Lupita Nyong’o kuongoza Baraza la Majaji

Lupita Nyong’o kuongoza Baraza la Majaji

Muigizaji Lupita Nyong’o anatarajiwa kuongoza Baraza la Majaji katika tamasha la Kimataifa la filamu la Berlinale mwezi Februari mwaka 2024.

Kupitia ukurasa wa Instagram wa Berlinale wame-share taarifa hiyo ambayo imemtangaza Lupita Nyong’o kuwa Rais wa Baraza la Kimataifa la Majaji katika tamasha la 74 la Kimataifa la filamu la Berlinale ifikapo mwaka 2024 na dhumuni la kumchagua yeye ni kuthamini anachokifanya.

Ikumbukwe kuwa Lupita ndiye mwanamke wa kwanza mwenye asili ya kiafrika ambaye anatarajia kuongoza Baraza hilo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags