Ice ashika namba mbili Google

Ice ashika namba mbili Google

‘Rapa’ kutoka nchini Marekani, #IceSpice ameshika nafasi ya pili kuwa mwanamuziki aliye fuatiliwa sana na kutafutwa kupitia Google kwa mwaka 2023 nchini humo.

Google search engine imetangaza mada zao kuu zinazovuma mwaka huu ikiwemo wanamuziki walio ongoza kwa kufatiliwa kupitia Google, huku katika orodha hiyo, Ice Spice ameshika namba mbili, na namba moja ikichukuliwa na mwanamuziki Jason Aldean.

#IceSpice anatamba na ngoma zake kama ‘Deli’, ‘In ha mood’ ‘Pretty girl’ pia amewahi kushirikishwa katika wimbo wa NickiMinaji ‘Barbie World’.


.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags