10
Mwalimu wa Chris ahukumiwa kwa kusafiri na bunduki
Mwalimu wa mcheza ‘boxer’ #ChrisEubank Jr, McIntyre ‘BoMac' ashitakiwa baada ya kukutwa na bunduki katika uwanja wa ndege wa Manchester nchini Uingereza. Ina...
10
Kylie Jenner aungwa mkono na shirika la Israel
Baada ya baadhi ya watu kuchukiza na kitendo cha  mfanyabiashara Kylie Jenner kwa kuonekana akiiunga mkono nchi ya Israel hatimaye amepata utetezi kutoka kwa mashirika ya...
10
Oxlade adai ushirikina ulifanya aache chuo
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Oxlade amedai alishindwa kumaliza chuo mwaka wa mwisho kwa sababu ya kuzongwa na mambo ya kishirikina. Mkali huyo aliyetamba na wimbo wa &lsq...
10
Fat Joe asikitika kumkosa Will Smith kwenye tuzo za Bet
Mwanamuziki wa Hip-hop Fat Joe ambaye pia ni Mtangazaji na  Mtayarishaji Mkuu wa Kipindi cha Tuzo za BET Hip Hop, ameeleza alivyoumia baada ya kumkosa Will Smith kwenye j...
10
Baba yake Drake apambana na wanaomchukia mwanaye
Dennis Graham, ambaye ni baba mzazi wa mwanamuziki Drake awajua juu wanaomchukia na kumkosoa mwanaye. Katika kuonesha hasira zake juu ya wanaomchukua mwanaye baba huyo amedai ...
10
Dereva auawa kwa kupigwa risasi ubalozini
Dereva auawa kwa kupigwa risasi baada ya kuingia na gari lake ndani ya ofisi za Ubalozi Mdogo wa China ,San Francisco siku ya jana Jumatatu. Wafanyikazi na wageni waliokuwepo ...
10
Ne-Yo aiomba mahakama Ex wake kutozungumzia kesi yao
Baada ya kutangazwa kuwa baba halali wa watoto wawili ambao ni Braiden na Brixton, msanii Ne-Yo ameripotiwa kuiomba mahakama isimruhusu ex wake Sade Bagnerise kuzungumza hadha...
10
Trossard aondolewa ‘timu’ ya Taifa
Mchezaji wa ‘klabu’ ya #Arsenal, LeandroTrossard ameondolewa katika kikosi cha ‘timu’ ya Taifa ya Ubelgiji kinachoenda kushiriki michuano ya kufuzu EUR...
10
Licha ya kuachana, Sophie achora ‘tattoo’ ya Drake
Mama mtoto wa ‘rapa’ kutoka nchini Canada, Drake, Sophie Brussaux ameendelea kuonesha upendo kwa msanii huyo hadi kufikia hatua ya kuchora ‘tattoo’ ya ...
10
Atishia kubeba mabomu akiwa juu ya bembea
Mwanaume mmoja ambaye hajafahamika jina hadi  sasa, amedakwa na polisi baada ya kuwatishia watu waliokuwa kwenye bembea la Ferris katika hifadhi maarufu ya Santa Monica, ...
09
Vita yasababisha tamasha la Bruno kufutwa
Tamasha la mwanamuziki kutoka nchini Marekani #BrunoMars lililopangwa kufanyika Tel Aviv, Israel usiku wa Jumamosi ya wiki iliyopita limefutwa baada ya vita kuibuka nchini hum...
09
Kylie Jenner apoteza mashabiki kwa kuiunga mkono Israel
Mrembo Kylie Jenner amejikuta akipoteza wafuasi wake katika ukurasa wake wa Instagram baada ya kuweka ‘posti’ kupitia InstaStory yake ikionesha anaiunga mkono ...
09
Nay: Muziki wangu haulengi watu wa mtandaoni
Akizungumza na shirika la habari BBC mwanamuziki wa Hip-hop nchini Nay wa Mitego amedai kuwa muziki wake huwa anawalenga watu wenye hali ya chini kabisa hivyo anachanganyikiwa...
09
Kinyesi cha Twiga chamuweka matatani mwanamke mmoja
Mwanamke mmoja amekamatwa kwenye Uwanja Wa Ndege Wa Minnesota nchini Marekani, akiwa na kinyesi cha Twiga kutoka nchini Kenya. Mwanamke huyo alieleza kuwa alibeba kinyesi hich...

Latest Post