FIFA waondoa adhabu ya Simba

FIFA waondoa adhabu ya Simba

Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limeiondolea ‘klabu’ ya #Simba adhabu ya kufungiwa kusajili wachezaji baada ya kuilipa ‘klabu’ ya #Teungueth ya #Senegal.

FIFA iliwafungia Wekundu wa Msimbazi baada ya kushindwa kuilipa ‘klabu’ ya #Teungueth kutokana na mauzo ya mchezaji Pape Ousmane Sakho na kupelekea  ‘klabu’ hiyo kufungua kesi  ya madai FIFA dhidi ya #Simba

Simba ilishindwa kesi hiyo na kutakiwa kuilipa ‘klabu’ hiyo ndani ya siku.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags