Mvulana aitaka Apple ibadili emoji iliyovaa miwani kama yake

Mvulana aitaka Apple ibadili emoji iliyovaa miwani kama yake

Mvulana mwenye umri wa miaka kumi aitwaye Teddy kutoka Peppard, Oxfordshire, ametuma ombi kwa kampuni ya Apple akiitaka kubadili emoji iliyovaa miwani inayofanana na yake aina ya 'nerd', akidai kuwa emoji hiyo ambayo pia ina meno marefu ya mbele inaudhi na kutusi.

Taddy amedai emoji hiyo inaleta dhana mbaya kuhusu watu wanaovaa miwani, hivyo basi, mvulana huyo amebuni upya emoji nyingine yakutumia  huku akiwa na matumaini kuwa Apple itatumia toleo lake jipya la emoji yenye fremu nyembamba ili kuacha kuendeleza dhana potofu juu ya watu wanaovaa miwani kuonekana kama vichekesho.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags