Rhino King wa The Mafik ahamia kwenye Injili

Rhino King wa The Mafik ahamia kwenye Injili

Aliyekuwa msanii wa kundi la The Mafik #RhinoKing ametangaza kuacha kuimba nyimbo za kidunia na kuhamia kwenye  injili.

Msanii huyo ameyasema hayo leo kwenye uzinduzi wa albumu yake ya kwanza ya nyimbo za injili aliyoipa jina la ‘Bila Mungu Halisi Hutoboi’.

Ryno King aliwahi kuwa katika kundi la The Mafik ambalo lilivunjika baada ya mwanakundi mwenzio #Mbaramwezi kufariki dunia. Hata hivyo kundi hilo kwa sasa limerudi tena likiwa na wasanii wanne akiwemo Hamadai
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags