Mchezaji wa zamani wa ‘soka’ nchini Germany ambaye pia aliwahi kuchezea ‘timu’ ya taifa ya Ghana Kevin-Prince Boaten amefunguka na kudai kuwa aliwahi k...
Yamekuwa yakitokea matukio kwa baadhi ya miili ya watu kuchelewa kuzikwa baada ya kufariki kutokana na sababu mbalimbali kama vile za kifamilia, uchunguzi na nyinginezo.
Mwaka...
Kufuatia tukio ya kukamatwa kwa rafiki wa aliyekuwa mwanamuziki Tupac, hatimaye kwa mara ya kwanza ushahidi wa tukio hilo umeweza kuoneshwa.
Picha ambazo hazijawahi kuonekana ...
Nyota mashuhuri wa mpira wa kikapu Michael Jordan anadaiwa kuingia kwenye orodha ya watu 400 matajiri zaidi Marekani ambao huandikwa kwenye orodha inayoheshimika ya Forbes 400...
Takribani watu 21 wamefariki dunia na wengine 18 kujeruhiwa baada ya basi lililokuwa limebeba watalii kuanguka mita 30 kutokea kwenye daraja na kuwaka moto karibu na jiji la V...
Bilionea Elon Musk, amefunguliwa mashitaka na ex wake Grimes, ambaye alizaa naye watoto watatu,
juu ya haki ya malezi ya watoto wao.
Grimes amefungua mashitaka hay...
Akiwa katika interview na mmoja ya chombo cha habari mwanamuziki #Phina ametoa yamoyoni akidai kuwa muziki haujawahi kuwa salama na rahisi kwa mtoto wa kike.
Aidha Mwanamziki ...
Ugonjwa wa ajabu wa maumivu katika magoti na kushindwa kutembea umewakumba wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Eregi iliyopo Kaunti ya Kakamega nchini Kenya ambapo...
Hatimaye uchunguzi wa maiti uliofanywa na wataalamu umethibitisha kuwa muigizaji na mfanyabiashara Jacky Smith aliyefariki dunia mwezi mei mwaka huu, alipoteza maisha kutokana...
Baada ya ‘rapa’ kutoka nchini Nigeria Naira Marley kutoa tamko la kurudi nchini humo kwa ajili ya kusaidia uchunguzi kufuatia kifo cha mwanamuziki MohBad hatimaye ...
Producer maarufu nchini Master J ameteuliwa kuwa mmoja wa wajumbe katika Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Damas Daniel Ndumbaro...
Ndoa ya mwanamuziki na mfanyabiashara kutoka nchini Kenya, Akothee inadaiwa kuvunjika kutokana na ‘staa’ huyo kubadirisha jina kupitia ukurasa wake wa Instagram ku...