Burna boy, Wizkid na Skepta waingia studio

Burna boy, Wizkid na Skepta waingia studio

Wasanii kutoka nchini Nigeria, Burna Boy, Wizkid na Skepta wameingia studio kwa mara ya kwanza huku wakionekana kila mmoja akiiingiza voko zake.

Hii itakuwa ni ngoma ya kwanza kama itatoka mwaka huu kwa Wizkid tangu ampoteze mama yake, kwani video ya wimbo wake wa mwisho kuuachia ulikuwa ‘Money & Love’ ambao kauachia miezi nane iliyopita na hadi sasa kwenye mtandao wa YouTube umefikisha watazamani zaidi ya milioni 5.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags