Korede Bello na Don Jazz waingia studio kwa mara nyingine

Korede Bello na Don Jazz waingia studio kwa mara nyingine

Baada ya kutamba katika ngoma zao kadhaa ikiwemo ‘Godwin’ na ‘Mungo Park’ hatimaye wanamuziki kutoka nchini Nigeria Korede Bello na Don Jazzy wameingia tena studio kwa lengo la kupika ngoma mpya iitwayo ‘Minding my business’ambayo bado hawajaweka wazi siku rasmi ya kuiachia.

Korede Bello na Don Jazzy wanaingia tena mzigoni ikiwa imepita miaka nane huku ngoma yao kubwa zaidi ya ‘Godwin’ ikiwa na zaidi ya watazamaji milioni 22.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags