Kanye West ataka kununua mkataba wa Lil Durk

Kanye West ataka kununua mkataba wa Lil Durk

Msanii wa muziki kutoka nchini Marekani, #KanyeWest inadaiwa kuwa anataka kununua mkataba wa #LilDurk baada ya onesho la pamoja walilofanya nchini Dubai.

Inaelezwa kuwa Kanye anampango wakufanya kazi na msanii huyo kwa ukaribu zaidi siku zijazo  na sasa yupo kwenye mazungumzo ya kumnunua msanii huyo kutoka kwenye 'lebo' ya #AlamoRecord.

Kanye na Durk kwa mara ya kwanza walitumbuiza live wimbo wao mpya waliofanya pamoja uitwao ‘Vultures’, kwenye klabu ya Blu Dubai mwishoni mwa wiki iliyopita.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post