Na Magreth Bavuma Ouyah eeeeh niaje niaje, karibuni tena kwenye segment yetu pendwa ya dunia ya wanavyuo “unicorner” sehemu moja tu tunayo elimishana juu ya m...
Ooooh!!! yes, ni week nyingine tena ambapo tunakutana kupitia kipingele cha makala za kazi, ajira, ujuzi na maarifa kwa ajili ya kujifunza mambo mbalimbali yanayohusu sector h...
Uhali gani! mchakarikaji mwenzangu, mwisho wa mwezi huu embu tukae kidogo tuulizane umeingiza shilingi ngapi mwezi huu? au ndiyo patupu na upo tuu hapo hutaki kujishughulisha....
Ikiwa leo ni siku ya kumbukizi ya kuzaliwa mwanamuziki Diamondplatnumz, baadhi ya watu wameendelea kumtakia kheri kwa maneno mbalimbali.
Kwa upande wa wanamuziki Barnaba Class...
Kampuni ya 243 Events ya kutoka nchini Uganda imepanga kumfungulia mashtaka mwanamuziki kutoka nchini Congo Fally Ipupa kudai haki yao baada ya mwanamuziki huyo kushindwa kuto...
Mugizaji Jacline Wolper amedai kuwa pesa ya kuhongwa siyo halali ni pesa ya haramu kwa sababu hauwezi ukaionea uchungu.
Muigizaji huyoamedai aliwahi kuongwa sana lakini hakuna...
Rapper Quavo, kwenye ziara yake ya nchini Ufaransa ameonekana akila chakula cha gharama licha ya chakula hicho kuwa na umbo dogo.
Quavo, bila kutaja mgahawa aliokuwepo ameones...
Msimamizi wa mitandao ya kijamii ya ‘klabu’ ya #Napoli Alessio Fortino ameamua kuacha kazi baada ya mchezaji wa ‘timu’ hiyo Victor Osimhen kudhihakiwa ...
Kijana wa miaka 27, Jesse Montez Thorton atiwa mikononi mwa polisi kwa kupigana na mzee wa miaka 63 wakati wakigombania kiti kweye Ukumbi wa Sinema uliopo Pompano Beach, Flori...
Mpenzi wa mwanamuziki #Rayvanny, #Fahyvanny awajia juu wanaotoa maneno baada ya Rayvanny kumchora tattoo mkononi.
Fahyvanny amewataka watu kupunguza makasiriko huku akiwapa po...
Hatimaye ‘klabu’ ya Simba nayo imengia katika hatua ya makundi ya ‘Klabu’ Bingwa Afrika kwa sare ya mabao 3-3 nje ndani dhidi Pwer Daynamos.
Historia i...