Tyla kuja na ngoma nyingine disemba 1

Tyla kuja na ngoma nyingine disemba 1


Baada ya mwanamuziki kutoa Afrika Kusini #Tyla ambaye anafanya vizuri na wimbo wa ‘Water’, sasa msanii huyo anarudi tena mjini na ngoma yake mpya aliyoipa jina la ‘Truth or Dare’.

#Tyla kupitia mitandao yake ya kijamii ame-share kionjo cha ngoma hiyo ya ‘Truth or Dare’ ambayo anatarajia kuiachia Disemba 1, mwaka huu.

Aidha video ya wimbo huo wa ‘Water’ ambao uliomfanya atambulike zaidi hadi sasa unazaidi ya watazamani milioni 54 kwenye mtandao wa YouTube .






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags