Rapa The Game ameweka wazi kuwa Kanye West alimpatia zawadi ya gari zake mbili aina ya Mercedes-Maybach S680s za mwaka 2025.Game ameweka wazi kupitia ukurasa wake wa instagram...
Peter Akaro
Ni hivi karibuni zimetolewa tuzo za 67 za Grammy huko Marekani na kumshuhudia msanii wa Nigeria, Tems akishinda kipengele cha wasanii wa Afrika akiwa ni wa pili ku...
Msanii wa Bongofleva Harmonize ametangaza kuachia wimbo Ijumaa hii ambao utakuwa maalumu kwa ajili ya kuwaimbia wapenzi wa zamani.Katika wimbo huo amesema anaomba mashabiki za...
Msanii Whozu amejitoa kwenye record label ya Too Much Money na sasa ni msanii anayejitegemea.Kupitia ukurasa wake wa Instagram Whozu ameweka taarifa rasmi ya kuondoka kwenye l...
Usiku wa kuamkia leo Desemba 15, 2024 mitandao ya kijamii imechafuka picha na video za mwanamuziki wa Marekani Chris Brown, kufuatia onesho alilofanya Afrika Kusini kujaza uwa...
Masoud Kofii Mkali wa muziki kutokea Afrika Kusini Refiloe Maele 'Cassper Nyovest' ameonesha kutopendezwa na maamuzi yaliofanywa na kamati ya ugawaji wa tuzo za South Afrikcan...
Mwimbaji wa Afrika Kusini, Tyla, 22, hivi karibuni ameshinda tuzo ya MTV Video Music Awards (VMAs) 2024, mafanikio haya ni somo lingine kwa staa wa Bongofleva, Diamond Platnum...
Mwanamuziki wa Afrika Kusini, Tyla amemamua kusimama na kumtetea mwanamitindo Chidinma Adetshina ambaye alijiondoa kwenye mashindano ya kuwania taji la Miss Afrika Kusini kufu...
Baada ya kuzuka tetesi kuwa mwanamitindo Chidimma Adetshina (23) anayeshiriki ‘Miss Afrika Kusini’ kubaguliwa kwenye shindano, kwa madai ya kuwa ni raia wa Nigeria...
Zikiwa zimepita siku chache tangu albumu ya mwanamuziki kutoka Afrika Kusini, Tyla kufikisha zaidi ya wasikilizaji (streams) bilioni moja katika mtandao wa Spotify na sasa ni ...
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani, #Beyonce ameshindwa kujizuia kwa kumpongeza mwanamuziki kutoka Afrika Kusini, #Tyla kwa kutoa Album yake ya kwanza iitwayo “Tyla&rdqu...
Baada ya washukiwa wa mauaji ya mwanamuziki kutoka Afrika Kusini, AKA kukamatwa na kufikishwa katika Mahakamani ya Hakimu Mkazi jiji Durban siku ya jana Februari 29, baba mzaz...
Ikiwa imepita siku moja tangu jeshi la polisi nchini Afrika Kusini kutangaza mbele ya waandishi wa habari kuwa limewakamata watu sita wanaotuhumiwa kwa mauaji ya rapa, Kiernan...