Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Taasisi ya Kitaifa ya Moyo mjini Warsaw, Poland, umebaini kuwa ndoa huwafanya wanandoa kuwa vibonge au kuongezea uzito zaidi.Utafiti huo ul...
Msemo wa msanii mkongwe wa Singeli Msaga Sumu, kuwa kila msanii wa nyimbo za aina nyingine ipo siku atakuja kuimba Singeli, umeanza kuonekana.Baada ya wasanii Zuchu, Jux, Diam...
Kwa zaidi ya miaka sita, mwigizaji maarufu Jason Momoa amekuwa akitambulika kwa mwonekano wake wa ndevu ikiwa ni nembo pekee ambayo ilimpa umaarufu kupitia uhusika wake katika...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, B2k Mnyama ameweka wazi changamoto alizopitia mpaka kusimama na kutambulika kwenye ramani ya muziki wa Bongo Fleva.Akizungumza na Mwananchi Scoop, ...
Rapa wa Marekani, Lil Wayne (42) amelazimika kufuta tamasha lake huko Toronto nchini Canada kutokana na sababu zilizotajwa kama ugonjwa usiotarajiwa ambao umemkumba mwan...
Rapa maarufu kutoka Marekani, Cardi B, ameonyesha kuguswa na maneno ya mashabiki kwa mwanamuziki kutoka Afrika Kusini, Tyla katika mitandao ya kijamii.Akizungumza na mashabiki...
Agosti 10 mwaka huu, msanii wa Bongo Fleva,Rayvanny aliandika historia katika muziki na kuitetemesha dunia na wimbo wake wa 'Ooh Mama Tetema'. Wimbo huu ni marudio w...
Mwanamitindo na mfanyabiashara maarufu Kim Kardashian amezua mijadala katika mitandao ya kijamii baada ya moja ya video yake kuvuja ikimuonesha akitokwa na machozi huku akimwo...
Msanii wa hip hop kutoka Marekani, Kid Cudi, amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya kutoa ushahidi dhidi ya mwanamuziki na mfanyabiashara “Diddy” Combs, akieleza k...
Kila ifikapo siku ya Alhamisi watu hupamba mitandao ya kijamii kwa picha na video za matukio yaliyopita. Matukio hayo hugusa sehemu mbalimbali ikiwemo kwenye michezo, familia ...
Mungu hakupi unachotaka anakupa unachostahili! Kauli hii inajidhihirisha kwa msanii wa muziki nchini, Babalevo licha ya watu wengi kuamini kuwa mafanikio yake yanatokana na mu...
Rangi nyekundu ya mdomoni ‘lipstick’, si mtindo wa kisasa kama ambavyo wengi wanavyofikiria, mtindo huo ulianzishwa na wanawake wa Babeli na Sumeria kutoka Mesopot...
Mkali wa Pop kutoka Marekani, Madonna amemuomba Papa Leo XIV, akimsihi kwenda Gaza ili kuwasaidia watoto wanaoteseka kutokana na mgogoro unaoendelea.Katika chapisho lake kweny...