Jamie Foxx akanusha tuhuma zinazo mkabili

Jamie Foxx akanusha tuhuma zinazo mkabili

Baada ya muigizaji na mchekeshaji Jamie Foxx kutuhumiwa na mwanadada Jane Doe kwa kumnyanyasa kingono, hatimaye muigizaji huyo amekanusha shutuma hizo.

Msemaji wa Jamie ameiambia TMZ muigizaji huyo amekanusha madai hayo kuwa hajahusika na tukio hilo na endapo akikutwa hana hatia basi atachukua hatua ya kumfungulia kesi mwanamke huyo ya kumchafua.

Jane alimshitaki muigizaji Foxx kwa kudai ya kutumia silaha kumtishia kisha kumshika sehemu zake za siri mwaka 2015 katika mgahawa wa kifahari wa NYC.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags