Mashabiki wa Simba waanza kulipiza kisasi

Mashabiki wa Simba waanza kulipiza kisasi

Baada ya #Yanga kula kichapo cha mabao 3-0 dhidi #Belouizdad usiku wa kuamkia leo kwenye ‘mechi’ ya kwanza ‘Ligi’ ya Mabingwa Afrika mashabiki wa #Simba wameanza kulipiza kisasi kwa kuweka mabango madogo ya 3-0 kwenye baadhi ya maeneo. 

Kufuatia na video iliyopostiwa na muandishi na mchambuzi wa michezo #FarahanKihamu imeonesha bango la 3-0 kwenye kijiwe cha kunywa kahawa, ambapo video hiyo iliambatana ujumbe usemao.

Kijiwe cha mtaani kwao cha #Simba wameweka kibango cha 3-0 huku wakidai kuwa wakifika mashabiki wa #Yanga wanywe kahawa chini ya matokeo yao na kunywa kahawa waanzie vikombe vitatu.

Kutizama video hiyo pitia ukurasa wetu wa instagram @Mwananchiscoop

.

.

#mwananchiscoop

#burudikanasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags