Polisi achomwa kisu gerezani

Polisi achomwa kisu gerezani

Aliyekuwa polisi wa Minneapolis, #DerekChauvin, ambaye alipatikana na hatia ya kumuua #GeorgeFloyd, ameripotiwa kuchomwa kisu katika gereza la Arizona.

Kwa mujibu wa vyombo vya habari nchini humo vimeripoti kuwa Derek alichomwa kisu siku ya jana Ijumaa na kujeruhiwa vibaya tumboni.

Ofisi ya Magereza jijini humo ilithibitisha kutokea kwa tukio hilo majira ya saa 12 ambapo katika taarifa hiyo ilielezwa kwamba lilipotokea tukio hilo zilifanyika jitihada za haraka za kuokoa maisha yake kabla ya Chauvin kupelekwa ho






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags