50 cent aonesha heshima kwa shabiki aliyemchora tattoo

50 cent aonesha heshima kwa shabiki aliyemchora tattoo

‘Rapa’ kutoka nchini Marekani #50Cent ameonesha heshima kubwa kwa shabiki aliyechora #tattoo ya sura ya msanii huyo kwenye mguu kwa kusaini jina lake kwenye tattoo hiyo.

#50Cent ameonesha heshima hiyo baada ya kumaliza show iliyofanyika juzi katika ukumbi wa O2 nchini Uingereza, na kuamua kuweka sign yake kwenye mguu wa shabiki huyo ambaye amemchora tattoo

Msanii gani unaweza kumchora tattoo mwilini mwako?






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags