Romy Jons: Maisha yanazidi kuwa magumu

Romy Jons: Maisha yanazidi kuwa magumu

Kaka wa mwanamuziki Diamond, Romy Jons amefunguka kwa kueleza kuwa licha ya yeye kuwa na kibarua lakini bado maisha ni magumu.

Romy kupitia ukurasa wake wa Instagram amewauliza swali mashabiki wake labda kuna sehemu watu wamekosea ndiyo maana maisha magumu huku akiweka wazi kuwa hata yeye mwenye vibarua viwili vitatu lakini kuipata hiyo pesa imekuwa ni kashehe.

Vipi kwa upande wako hali ni tete kama kwa Romy?






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags