Kikosi cha Yanga chaanza safari kurudi Dar

Kikosi cha Yanga chaanza safari kurudi Dar

Baada ya kuchezea kichapo cha mabao 3-0 usiku wa kuamkia leo dhidi ya CR Belouizdad, katika hatua makundi ‘Ligi’ ya Mabingwa Africa, sasa kikosi cha ‘klabu’ ya Yanga kimeanza safari ya kurudi Tanzania kikitokea nchini Algeria.

Yanga itakuwa na ‘mechi’ ya pili katika kundi D kwenye michuano hiyo dhidi ya Al Ahly Desemba 2 katika Uwanja wa Mkapa, Dar es salaam.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags