28
Kocha wa Al Ahly aahidi kumaliza mchezo kwa Mkapa
‘Kocha’ wa ‘klabu’ ya #AlAhly, #MarcelKoller ameahidi kuimaliza ‘mechi’ yao dhidi ya ‘klabu’ ya #Simba katika uwanja wa Benjami...
28
Waamuzi wa simba na Yanga wajulikana
Muamuzi #AbongileTom kutoka nchini Afrika Kusini ameteuliwa kusimamia mchezo wa robo fainali ya ‘ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Simba SC dhidi ya #AlAhly kutoka nchini ...
01
Baba mzazi wa Bacca atua Dar kumshuhudia mwanaye
Baba mzazi wa mchezaji wa ‘Klabu’ ya Yanga, Ibrahim Bacca mzee Abdallah Hamad tayari amewasili Dar es salaam akitokea kisiwani Zanzibar kwa ajili ya kuishuhudia &l...
29
Refa wa Mauritania kuzihukumu Al ahly na Yanga
Abdel Aziz Mohamed Bouh kutoka Mauritania, ndiye refa aliyepangwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) kuchezesha mechi ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika ...
25
Kikosi cha Yanga chaanza safari kurudi Dar
Baada ya kuchezea kichapo cha mabao 3-0 usiku wa kuamkia leo dhidi ya CR Belouizdad, katika hatua makundi ‘Ligi’ ya Mabingwa Africa, sasa kikosi cha ‘klabu&r...
24
Ndala kuamua ‘mechi’ ya Al Ahly na Simba leo
Mwamuzi kutoka #DRCongo, Jean Jacques Ndala ameteuliwa kuchezesha mchezo wa mkondo wa pili wa robo fainali ya African Football League kati ya Al Ahly dhidi ya Simba SC utakaop...
19
Mechi ya kesho tishio kwa ‘Kocha’ wa Al Ahly
‘Kocha’ wa Al Ahly, Marcel Kohler ameeleza kuwa kuna ugumu wa ‘mechi’ ya kesho, ikizingatiwa wapinzani wao ‘klabu’ ya #Simba wana ubora na ...
18
Rais Samia kununua kila goli mechi ya simba dhidi ya al ahly
Ikiwa imebaki siku moja kwa ‘klabu’ ya Simba kuingia dimbani kukipiga na Al Ahly katika michuano ya AFL, Rais Samia ameendeleza pale alipoishia ambapo ameweka wazi...
12
Al Ahly sio kinyonge, Watua na mchezaji mpya
‘Klabu’ ya #Al Ahly, ambao ni mabingwa nchini Misri, inaelezwa kuwa wamefanikisha usajili wa mshambuliaji wa zamani wa Borussia Dortmund, Anthony Modeste, aliyejiu...

Latest Post