Khaligraph amtaka 50 Cent atue Kenya

Khaligraph amtaka 50 Cent atue Kenya

 Kufuatiwa na post ya ‘rapa’ kutoka nchini Marekani 50 Cent kuuliza mashabiki ni sehemu gani aanze kwenda ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya ‘Final Lap Tour’, huku  moja ya sehemu alizotaja ikiwa Africa, msanii wa hip-hop kutoka nchini Kenya Khaligraph amemtaka ‘rapa’ huyo kutua nchini humo.

Kupitia post ya 50 Cent kwenye ukurasa wake wa Instagram,  Khaligraph ame-comment na kumtaka Cent kutua nchini Kenya.

Kwa mtazamo wako 50 Cent anaweza kutua Kenya?
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags