Noah awakalisha Burna Boy, Davido na Tiwa Savage kwenye o2 arena

Noah awakalisha Burna Boy, Davido na Tiwa Savage kwenye o2 arena

Mchekeshaji na muandishi wa habari kutoka Afrika Kusini Trevor Noah ameendelea kuupiga mwingi baada ya kuwavutia wengi kupitia mitandao ya kijamii kwa kujaza mashabiki katika uwanja wa O2 Arena jijini London.

Mchekeshaji huyo anakuwa muafrica wa kwanza kuujaza uwanja huo mara sita ya ile ambayo watu wameizoea kwa kujaza mashabiki 50,000 katika show yake ya live comedy.

Maximum ya uwanja huo wa O2 Arena kwa wasanii wa kiafrica wanajaza mashabiki 20,000, baadhi ya waafrica waliowahi kutumbuiza hapo ni Burna Boy, Davido, Tiwa Savage lakini hawakufikia kiwango cha kujaza watu kama ilivyotokea kwa Trevor.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags