Jada asisitiza kutoachana na Smith

Jada asisitiza kutoachana na Smith

Aliyekuwa mke wa muigizaji Will Smith, Jada amesema kuwa yeye na Will wataishia kutengana na siyo kuachana.

Kufuatia mahojiano yake na Drew Barrymore siku ya jana Jumanne mwandishi alimuuliza kama yeye na Smith wanafikiria kuachana siku za hivi karibuni, kutokana na swali hilo Jada alijibu kuwa yeye na Smith wataendelea kuwa pamoja milele.

Ikumbukwe kuwa miezi kadhaa iliyopita #JadaSmith alishika vichwa vya habari baada ya kudai kuwa yeye na #WillSmith walitengana miaka 7 iliyopita licha ya kuwa wanaishi pamoja.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags