Naira marley na Sam waonekana mtaani, Baada ya kuachiwa huru

Naira marley na Sam waonekana mtaani, Baada ya kuachiwa huru

Ikiwa zimepita wiki mbili tangu msanii Naira Marley na ‘promota’ Sam Larry kuachiwa huru baada ya kutimiza masharti ya dhamana ya Naira milioni 20 ambayo ni zaidi ya tsh 59 milioni, kutokana na tuhuma za kuhusina na kifo MohBad hatimaye wawili hao wameonekana tena pamoja kupitia video inayo-trend mitandaoni.

#NairaMarley na #Samlarry walioshikiriwa na jeshi la polisi nchini Nigeria baada ya kuhusishwa na kifo cha msanii Mohbad kilichotokea September 12 mwaka huu.








Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags