The Mafik warudi tena, Waanza na Mungu

The Mafik warudi tena, Waanza na Mungu

Baada ya ukimya wa miaka minne, hatimaye kundi la muziki The Mafik limerejea rasmi likiwa na wasanii wanne huku watatu wakiwa wapya na msanii #Hamadai pekee ndiye msanii wa zamani katika kundi hilo.

Hafla ya kutambulisha kundi hilo ilifanyika usiku wa kuamkia leo, wasanii hao wameanza kwa wimbo mpya uitwao ‘Tunaanza na Mungu'.

Wasanii hao wapya walioifufua The Mafik ni #Welle #Micky na #BoscoTones. Mwanzo kundi hilo lilikuwa na wasanii Hamadai, Migo, na marehemu Mbaramwezi.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags