Beki wa zamani wa Juvetus astaafu soka

Beki wa zamani wa Juvetus astaafu soka

Beki wa zamani wa ‘klabu ya #Juventus na ‘timu’ ya Taifa ya #Italia, #GiorgioChiellini ametangaza kustaafu ‘soka’ la kulipwa akiwa na umri wa miaka 39.

Mwaka 2022 Chiellini alikuwa akichezea ‘klabu’ ya Los Angeles FC ya ‘Ligi’ kuu ya MLS nchini Marekani kwa mkataba hadi 2023, akiwa katika ‘timu’ hiyo alichukua Kombe la MLS kufuatia ushindi wa mikwaju ya ‘penati’ dhidi ya ‘klabu’ ya #PhiladeiphiaUnion Machi mwaka huu.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags