Nchi kumi zenye maisha bora kwa 2023

Nchi kumi zenye maisha bora kwa 2023

Katika kumaaliza mwaka U.S. News imetoa ripoti ya nchi zilizo na maisha bora zaidi kwa mwaka 2023, kwa kuangalia vigezo vya usalama wa huduma ya afya, uthabiti wa kiuchumi na elimu.

Kati ya nchi zilizotajwa kwenye kumi bora ni Sweden, Norway, Canada,Denmark , Finland, Switzerland, Netherlands, Australia, Germany, New Zealand.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags