08
Ukaribu wa Drake na mtoto wake wazidi kushamiri
Rapa kutoka Canada, Drake ameonekana kuwa na ukaribu zaidi na mtoto wake wa kiume aitwaye Adonis licha ya kutengana na mama wa mtoto huyo Sophie Brussaux.Kupitia ukurasa wa In...
12
Celine Dion achukizwa na Trump kutumia wimbo wake
Timu ya mwanamuziki Celine Dion imeoneshwa kukerwa na mgomea wa Rais wa Marekani, Donald Trump kwa kutumia moja ya wimbo wa msanii huyo kwenye kampeni iliyofanyika jijini Mont...
03
Linapokuja suala la historia Celine Dion yupo tayari kwa lolote
Mwanamuziki mkongwe wa Canada Celine Dion afunguka kuwa linapokuja suala la historia yake yupo tayari kwa lolote.Mkali huyo wa ‘My Heart Will Go On’ akizungumza na...
02
50 Cent amcheka Rick Ross baada ya kushambuliwa Canada
Mkali wa Hip-hop Marekani 50 Cent, aonekana kufurahishwa na video inayosambaa mitandaoni ikimuonesha ‘rapa’ Rick Ross akishambuliwa nchini Canada. Kupitia ukurasa ...
10
Bieber na mkewe watarajia kupata mtoto
Mwanamuziki maarufu kutoka Canada Justin Bieber na mkewe Hailey wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza baada ya kuwa kwenye mahusiano kwa miaka saba.Wawili hao wameweka wazi s...
03
Mgahawa wapata umaarufu baada ya Lamar kuutaja
Mgahawa mmoja uliyopo Toronto nchini Canada uitwao ‘New Ho King’ umepata umaarufu na kuwa na wateja wengi baada ya ‘rapa’ Kendrick Lamar kuutaja kwenye...
13
Huu ndiyo muonekano mpya wa Asake
Tazama muonekano mpya wa mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Asake baada ya kupunga dread alizokuwa nazo na kubakiza nywele chache kichwani.#Asake ameachia muonekano huo kwa mar...
18
Drake aendelea alipoishia
Imekuwa desturi kwa mwanamuziki kutoka Canada, Drake kutoa maokoto kwa mashabiki wake kama zawadi, sasa amemzawadia shabiki yake ambaye ni mjamzito dola 25,000 sawa na tsh 63....
06
Ayra kwenye ziara ya Chris Brown
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria, Ayra Starr amepewa shavu na mwanamuziki Chris Brown kuwepo kwenye ziara yake iliyopewa jina la ‘11:11’ ambayo imebeba jina la al...
02
Mbosso: Nikirudi Tanzania naoa
Mwanamuziki wa #Bongofleva nchini ameweka wazi kuwa akirudi Tanzania anaoa kutokana na umri kumtupa mkono.Mbosso kupitia moja ya video zake amesikika akisema kuwa anaona utuuz...
27
Atumia ndege kama usafiri wa kwenda chuo
Mwanafunzi mmoja , aitwaye Tim Chen anayechukua course ya Uchumi katika Chuo Kikuu cha British Columbia (UBC) kilichopo nchini Canada amekuwa akitumia usafiri wa ndege kwenda ...
01
Marekani kushuhudia kupatwa kwa jua
Kwa mujibu wa #NASA ambao wanahusika na masuala ya utafiti wa anga kutoka nchini Marekani kupitia tovuti yao wameeleza kuwa Aprili 8, 2024, Marekani itashuhudia kupatwa kwa ju...
16
Baba yake Drake aruhusiwa kurudi Canada
Baba wa mwanamuziki kutoka nchini Marekani #Drake, #DennisGraham,ameruhusiwa kurudi nchini Canada baada ya kumaliza adhabu yake. Kupitia #Instastory ya ‘rapa’ huyo...
13
Nchi kumi zenye maisha bora kwa 2023
Katika kumaaliza mwaka U.S. News imetoa ripoti ya nchi zilizo na maisha bora zaidi kwa mwaka 2023, kwa kuangalia vigezo vya usalama wa huduma ya afya, uthabiti wa kiuchumi na ...

Latest Post