Mwandishi adaiwa kujiua kwa kujitoa muhanga

Mwandishi adaiwa kujiua kwa kujitoa muhanga

Mwandishi wa habari kutoka nchini Marekani Emily Matson, anadaiwa kujiua kwa kujirusha kwenye  treni siku ya Jumatatu asubuhi katika kitongoji cha Fairview alipokuwa akiishi.

Taarifa ya kifo cha Emily Matson, ilitolewa na Mkurugenzi Scott MacDowell wa television aliyokuwa akifanyia kazi ya Northwest Pennsylvania kuwa kufuatiwa na uchunguzi uliyofanywa na polisi umebaini kugongwa kwa Emily haikuwa bahati mbaya bali ilikuwa ni kwa kujitoa muhanga (kujiua).

Emily amefariki akiwa na umri wa miaka 42 huku mara yake ya mwisho kuwa live kwenye kipindi ni siku ya Ijumaa Disemba 8, mwaka huu.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags