Albamu yamrudisha Kanye West Instagram

Albamu yamrudisha Kanye West Instagram

‘Rapa’ kutoka nchini Marekani, #KanyeWest, amerejea kwenye mtandao wa #Instagram baada ya kutotumia mtandao huo kwa zaidi ya miezi mitano.

Kanye amerejea kipindi ambacho Albamu yake pamoja na Ty Dolla Sign ‘Vultures’ ikishika kasi mitandaoni, ambayo imejumuisha  nyimbo 18 na nyingine akiwa amefanya 'kolabo' na wasanii wakubwa akiwemo #Lil Baby, #Offset, #ChrisBrown, #Future,# JamesBlake, #NickiMinaj.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags