Kocha atimuliwa kisa kipogo cha mabao matatu

Kocha atimuliwa kisa kipogo cha mabao matatu

‘Klabu’ ya #Sevilla imemfuta kazi ‘kocha #DiegoAlonso ‘klabuni’ hapo kufuatia kipigo cha 3-0 dhidi ya ‘klabu’ ya #Getafe kwenye ‘Ligi’ kuu #Uhispania.

Alonso mwenye umri wa miaka 48 raia wa Marekani ametupiwa virago baada ya kudumu katika ‘klabu’ hiyo kwa miezi miwili tu tangu alipochukua mikoba ya ‘kocha’  José Luis Mendilibar  Oktoba 10, 2023.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags