Baada ya Muigizaji mkongwe kutoka nchini Marekani Arnold Schwarzenegger kupeana talaka na mkewe Maria Shriver mwaka 2021, inadaiwa kuwa muigizaji huyo kwa sasa hana mpango wa ...
Mwanaume mmoja kutoka nchini Marekani, Richard White, mwenye umri wa miaka 36 anashikiliwa na polisi kwa madai ya kumteka nyara mtoto wa ex wake mwenye umri wa miaka mitano, m...
Mwanamuziki wa bongo Fleva #BabaLevo ameleza kuwa kwasasa ipo haja ya #Harmonize na #Diamond kumaliza tofauti zao.Baba levo kupitia ukurasa wake wa #Instagram ame-share &lsquo...
Mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la #AbeDiaw amemshitaki mwanamuziki #ChrisBrown kwa madai ya kumpiga na chupa kichwani mwezi #Februari, katika club ya #Tape nchini #Uing...
Waswahili wanasema ‘namba’ hazidanganyi na hii imejidhihirishia siku ya jana Alhamisi 26, 2023 katika uzinduzi wa nguo za kiume kutoka kwenye chapa ya SKIMS MENS i...
Mgahawa maarufu ya vyakula vya haraka duniani KFC imelazimika kufunga matawi yote Lesotho baada ya kupiga marufuku bidhaa za kuku kutoka nchi jirani ya Afrika Kusini ambayo in...
Mwanaume mmoja kutoka nchini India anayefahamika kwa jina la Prem Gupta amfanyia sherehe binti yake baada ya kuachika.Binti wa Prem, aitwaye Sakshi Gupta aliolewa mwaka 2022 n...
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Omah Lay ameweka wazi kuwa amewahi kufikiria kubadilisha dini kutoka katika Ukristo na kuwa Muislam.Msanii huyo ameeleza hayo kufuatia mahoji...
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Tems ameweka wazi kuwa wasanii anaowapenda zaidi Afrika ni msanii kutoka nchini humo Asake na mwingine kutoka Afrika kusini Tyla.Tems ameyase...
Mchezaji wa zamani wa ‘timu’ ya taifa ya Uhispania na ‘klabu’ ya Manchester United, Gerard Pique ameanguka jukwaani akiwa kwenye hafla.Kwa mujibu wa vy...
Muigizaji kutoka nchini Marekani, #AdamWylie, anadaiwa kukamatwa na polisi kwa kosa la kuvunja maduka ya Ol Target nchini humo na kuiba bidhaa katika maduka hayo.
#BurbankPD &...
Mchezaji wa ‘klabu’ #NewcastleUnited, #SandroTonali amefungiwa miezi 10 kujihusisha na masuala ya ‘soka’ kwa kukiuka sheria za michezo ya kubashiri (ka...
Mwanaume mmoja kutoka nchini #Nigeria aliyefahamika kwa jina la #LegendaryPapi ameiumbua ‘benki’ iliyoko nchini humo baada ya kumpa pesa bandia kiasi cha Euro 5000...