Messi aongoza kutafutwa zaidi mtandaoni 2023

Messi aongoza kutafutwa zaidi mtandaoni 2023

Nyota wa ‘timu’ ya Taifa ya #Argentina na ‘klabu’ ya Inter Miami kutoka Marekani, #LionelMessi ameibuka kinara kwa kuwa ndiye mchezaji aliyetafutwa zaidi kupitia mitandao ya kijamii kwa mwaka 2023.

Kwa mujibu wa tovuti ya #FBref inayojihusisha na takwimu za michezo imeripoti kuwa Messi ndiye mchezaji aliyetazamwa na kufuatiliwa mara nyingi katika mitandao ya kijamii kwenye nchi tofauti kwa mwaka huu huku #CristianoRonaldo akishika namba moja Ureno pekee.

Aidha wana-soka wengine ambao wameshika namba moja kwenye mataifa yao ni #Neymar#Mbappe#Vinicius Jr, #Guti na mchezaji wa #Chelsea Moisea Caicedo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags