Cr7 anaongoza kwa mabao 2023

Cr7 anaongoza kwa mabao 2023

Mchezaji wa ‘klabu’ ya #Alnassr #CristianoRonaldo anaongoza kuwa na mabao mengi kwa mwaka 2023, akiwa na umri wa miaka 38

Inaelezwa kuwa nyota huyo wa soka amefunga jumla ya mabao 53 katika mechi 58, huku akiwapita wachezaji wengine kama Harry Kane na Kylian Mbappé, wote wamefunga mabao 52.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags