02
Simba yakemea waliompiga shabiki wa Yanga
‘Klabu’ ya #Simba imekemea vikali na kusikitishwa na tukio ambalo lilisambaa katika mitandao ya kijamii kupitia video ikionesha baada ya mchezo wa Simba Vs Ihefu, ...
01
Wachezaji wa Man United wanadai ‘jezi’ zinawabana
Inadaiwa kuwa wachezaji wa ‘klabu’ ya #ManchesterUnited, wanalazimika kuvaa ‘jezi’ zisizo rasmi wakati wa ‘mechi’ kutokana na ‘jezi&r...
01
Fungate ya Okothee na aliyekuwa mumewe ndiyo chanzo cha balaa lote
Mwanamuziki na mfanyabiashara kutoka nchini Kenya Akothee kwa mara ya kwanza amefunguka kuhusu kuachana na mume wake anayefahamika kama Denis Schweizer,'Omosh' huku akidai kuw...
01
Mke wa Professor Jay: Uvumi wa kifo cha mume wangu uliniumiza
Mke wa mwanamuziki mkongwe wa Hip-hop #ProfessorJay, #GraceMgonjo amedai kuwa taarifa ambazo zilikuwa zinamuumiza kipindi cha nyuma ni kuhusu mumewa kuzushiwa kifo wakati akiw...
01
Yanga kuwania tuzo ya ‘klabu’ bora Afrika
Mabingwa watetezi wa ‘Ligi’ Kuu Bara na washindi wa pili wa Kombe la Shirikisho Afrika msimu uliopita Yanga SC, wanawania Tuzo ya ‘klabu’ bora kwa wana...
01
Mwanaume aliyepandikizwa moyo wa nguruwe afariki
Baada ya mtu wa kwanza kufanyiwa upasuaji wa kupandikizwa moyo wa nguruwe mwaka jana na ‘timu’ ya madaktari kutoka Chuo Kikuu Maryland kufariki miezi miwili baada ...
01
Mr ibu afanyiwa upasuaji, Yupo ICU
Baada ya muigizaji kutoka nchini Nigeria Mr Ibu kuomba msaada kupitia mitandao ya kijamii ili aweze kuchangiwa kiasi cha pesa kwa ajili ya matibabu, hatimaye muigizaji huyo ta...
01
Michael Jackson ndiye anayeingiza maokoto mengi
Mfalme wa Pop Duniani Michael Jackson ameongoza orodha ya #Forbes ya watu mashuhuri 13 waliofariki wanaolipwa pesa nyingi zaidi, ambapo mapato yeke yanayokadiriwa kuwa dola 11...
01
Amaju amtaka Davido aombe msamaha siku nne mfululizo
Waandaaji wa tamasha la ‘Warri Again Concert’ wamemfungulia kesi ya madai ya N2.3 bilioni msanii kutoka nchini Nigeria Davido kwa madai ya kukiuka makubaliano ya k...
01
‘Kocha’ wa Geita Gold kikaangoni
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mji Geita, #ZaharaMichuzi amemtaka ‘kocha’ mkuu wa ‘timu’ ya #GeitaGold, #HemediSuleiman, kufika ofisini kwake kw...
01
Nyota wa General Hospital afariki dunia
Muigizaji kutoka nchini Marekani mwenye umri wa miaka 50 Tyler Christopher amefariki dunia kwa mshituko wa moyo nyumbani kwake San Diego siku ya jana Jumanne. Inaelezwa kuwa n...
01
Adidas yamzawadia Messi pete za dhahabu
Mshambuliaji wa ‘Klabu’ ya Inter Miami kutoka nchini Marekani, Lionel Messi amezawadiwa pete nane za dhahabu na kampuni ya Adidas kuenzi matukio yake muhimu katika...
31
Saudi Arabia kuandaa kombe la dunia 2034
Imeripotiwa kuwa nchini #SaudiArabia, wataandaa Kombe la Dunia la 2034, baada ya #Australia kujiondoa kwenye kinyang'anyiro cha kuandaa mashindano hayo. Inaelezwa kuwa nchi hi...
31
Tetemeko la ardhi lamkuta ‘rapa’ Sean akiwa live
‘Rapa’ kutoka #Jamaica #SeanPaul anadaiwa kusitisha mahojiano baada ya tetemeko la ardhi lililoikumba jengo la #Kingston nchini humo. Kwa mujibu wa vyombo vya haba...

Latest Post