Vanessa aelezea hali ya Mimimars

Vanessa aelezea hali ya Mimimars

Kutokana na taarifa zinazoendelea kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na hali ya kiafya ya msanii #MimiMars, baada ya kudaiwa kupata ajali, Vanessa Mdee ambaye ni dada yake ametolea ufafanuzi.

Vanessa kupitia ukurasa wake wa Instagram amewashukuru mashabiki kwa upendo wao huku akieleza kuwa #MimiMars anaendelea vizuri.

Hata hivyo kwenye taarifa hiyo Vanessa ametaka mashabiki kuheshimu garagha za familia yao kuhusiana na hali ya #MimiMars.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags