Makabila awatolea povu wanaooa mke zaidi ya mmoja

Makabila awatolea povu wanaooa mke zaidi ya mmoja

Mwanamuziki wa singeli nchini Dulla Makabila awatolea povu wanaume wanaooa wake wengi kwa kigezo cha kukimbilia dini.

Makabila kupitia ukurasa wake wa Instagram ame-share ujumbe ukieleza wanaume wanaotaka kufuata sunna ya Mtume basi wazifuate zote na siyo moja ya kuoa mke zaidi ya mmoja, huku akiweka wazi kuwa anachukizwa na vitendo hivyo, kwani vinaumiza sana wanawake.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags