Nyota wa The full monty afariki

Nyota wa The full monty afariki

Aliyekuwa muigizaji kutoka nchini Uingereza Tom Wilkinson amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 75.

Taarifa ya kifo chake imetolewa na familia yake ikieleza kuwa nyota huyo wa ‘The Full Monty’ amefariki akiwa nyumbani kwake siku ya jana Desemba 30, huku sababu ya kifo chake bado haijafahamika.

Ikumbukwe kuwa Tom Wilkinson amewahi kuonekana katika filamu kama ‘Batman Begins’, ‘Shakespeare in Love’, ‘Rush Hour’, ‘Wilde’, ‘The Ghost and the Darkness’, ‘Patriot’, ‘Eternal Sunshine ya Akili Isiyo na Doa’, ‘Valkyrie’, ‘Misheni’ na nyenginezo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags